1 Yohana 1:9-10Neno: Bibilia Takatifu
1 Yohana 1:9-10
Neno: Bibilia Takatifu
9 Tukiziungama dhambi zetu, yeye ni mwa minifu na wa haki na atatusamehe dhambi zetu na kututakasa na uovu wote. 10 Tukisema hatujatenda dhambi tunamfanya yeye kuwa mwongo, na neno lake halimo ndani yetu.
0 Comments