Siku moja nilipigiwa simu na rafiki...akaniambia " Nimeomba Sana mbona majibu ninayoyataka Mimi sipati"

Nikamwambia hujakaa katika nafasi ya kupatikana majibu unayotaka.

Nanukuu hakuna mzazi anaempa mtoto nyoka badala ya samaki....

Upendo wa Kristo ni waajabu 
WARUMI 8:35
35 Ni nani atakayetutenganisha na upendo wa Kristo? Ni shida? Au taabu? Au mateso? Au njaa? Au umaskini? Au hatari? Au Kifo? Hapana. 

Kama Unapendwa kwanini hupewi
Kama ulipewa mpaka Yesu ,kwanini haupati .... Basi jichunguze huenda si mapezi ya Mungu 

Marko 14:36
Akasema, “Baba yangu, kwako mambo yote yanawezekana. Uniondolee kikombe hiki; lakini isiwe kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe.”
Kama si
jichunguze moyoni mwako kulingana 

Huwezi ukaomba maembe jangwani Wala mtoni huwezi kuvua ng'ombe.

TAMBUA KUNA KUISHI ROHONI NA MWILINI 

ukilijua hili mapema litakusaidia

KWELI UNAWAJIBIKA ROHONI VIZUR TU KAMA HUFANYI KAZI HUWEZI KUJIKIMU,NDIO UNASOMA  SANA KAMA HUTOOMBA MUNGU AKUSAIDIE KWAUWEZO WA ROHO MTAKATIFU SAHAU MATOKEO MAZURI 

2 Wakorintho 10:3-4

10 Ingawa tunaishi duniani lakini hatupigani kama watu wa ulimwengu. Silaha zetu si za kidunia, bali silaha zetu zina nguvu ya kimungu iwezayo kubomoa ngome.