Malaki 3:11
"Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba"
Nukuu kutoka kwa Bwana Prosper "Fungu la kumi ni ulinzi kama vile mtu anavyojijengea nyumba na kuweka uzio ndivyo ilivyo Fungu la kumi kwenye biashara, familia, elimu, ndoa na mengine. "
hatuwezi kupambana na mharibu au mshitaki wetu maana sisi binaadamu hatuja kamilika ila Roho mtakatifu ndie msaidizi wetu katika yote yampendezayo Mungu , ukimuangalia Abuyu mtu mkamilifu mbele za Mungu, shetani alimjaribu kwa mateso ya namna zote lakini Mungu ni mwaminifu , tuelewane kwanza sisi hatuwezi kujilinda wala kumzuia mharibu.
kwaajili yetu Mungu atamkemea alaye.
Fungu la kumi ni kitendo cha Imani. Ukitii hii amri bila kuamini nisawa na kujilisha upepo.
Bofya hapa kuendelea
0 Comments