2021 ulikuwa mwaka mgumu kwangu. maswali mengi ya maisha yangu yalikosa majibu, moja wapo ni kipato. moja ya maombi yangu yakuwa Mungu naomba uonekanie katika uchumi wangu. nikajihusisha na maombi na ndipo nilipo muona Mungu. nikapata fursa ya kufungua biashara ya shilling 9000. Biashara ilikuwa ndogo lakini kupitia mafunuo niliopata kutoka Malaki 3:10-12 kuhusu Baraka, ulinzi na kibali nili muona Mungu sana. ndani ya miezi mitatu biashara ilikuwa mpaka mtaji wa shilingi 200000. 

kila nikitoa sadaka huwa namwambia kuhusu jaribu la fungu la kumi. Nikiambatanisha andiko la Malaki 3:10-12 na marko 10:29

S.D.M