TUNAENDELEA.......
Somo la fungu la kwenye biashara
Fungu la kumi si kwaaji ya biashara tu bali maisha binafsi, watoto, taasisi na mengine.
Nini kinatokea baada ya kutoa fungu la kumi kwenye biashara yako
- Mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha
Baraka ni kitu kisichoshikika , nialama ya kudumu, mtu aliye barikiwa na wazazi tu ni mtu mwenye mafanikia , ustawi , amani , nguvu na mengine , tusemaje kuhusu mbarikiwa wa Mungu
kama wana wa Israeli katika kipindi cha balamu na mfalame baraki walivyo taka kuwalaani. alama hii huonekama kimwili na kiroho pia, lile tukio la balamu na mfalme barak ni uchawi kabisa katika mbinu ya kuwalaani wana wa Israeli. ila kwakuwa ni wabarikiwa Mungu alisimama nakusema kwa aajili yao hata bila wao kujua.
Hesabu 22:12 Lakini Mungu akamwambia Balaamu: “Usiende na wanaume hawa. Usiwalaani watu hao, kwa maana wamebarikiwa." nitafutie mtu alie balikiwa katika biblia alafu tuzungumze kuhusu maisha yake comment hapo chini ...
tutafute Baraka hizi moja njia ni kutoa Fungu la Kumi
Bofya hapa kuendelea
0 Comments