MALAKI 3:10-12
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema Bwana wa majeshi.Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema Bwana wa majeshi.
Bwana Yesu Asifiwe
fungu la kumi ni fumbo la utii. katika fumbo hilo Mungu anapima upendo wako kwake.,mbali na kuwa agano yaani mapatano kati ya pande mbili . Asilimia kumi ya mapato yako ni kiwango kidogo sana kulinganisha na ukuu wa Mungu, muumba mbingu na nchi na vyote. kwanini ?
Tunarudia mwanzo Fungu la kumi ni fumbo la utii na Agano
Ukitoa fungu la kumi ni sawa na kuingia ubia na Mungu mwenyewe . Ndio! niambia mfanyabiashara yeyote anatakiwa kuiona hii kama fursa . Fursa ya kuingia kwenye mapatana na mmiliki wa mbingu dunia na vyote vilivyomo. kwamba anaweza kuamuru chochote kua upande wako lakini mpaka ukimtii
leta zaka kamimili ghalani mkanijaribu. alafu baada ya kumjaribu nini kitatokea?
KUSOMA SHUHUDA ZA FUNGU LAMI
0 Comments