kwanini Mungu katika ukuu wake anakusihiii umjaribu?
je ni kwamanufaa yake au yako, na kama yake kwanini achukue asilimia kumi tu?
je inamtosha kwa matumizi ya nyumba yake ?, fungu la kumi ni fumbo la utii. ndio asilimia tisini kwa kumi na si asilimia kumi kwa tisini kulingana na ukuu wake havifanani si ndio.
Awali katika maisha yangu nilijifunza somo zuri la biashara kujua Zaidi Bofya hapa
MALAKI 3:10-12
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema Bwana wa majeshi.Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema Bwana wa majeshi.
ukiangalia kwakina katika andiko hili kuna faida kuu tatu
Baraka , Ulinzi na Kibali. Huwa nawaambia wanafunzi wangu wa sunday school mara ya mwisho Mungu alipofungua madisha ya mbinguni kwa siku 40 kwaajili ya maji tu yalikaa siku 150 kukauka,
Mungu sio mwanadamu na fungu la kumi ni Agano
na agano siku zote linapande mbili , utii na uamifu wako utaashilia ushirikiano kutoka upande wa pili.
FUNGU LA KUMI SI MAELEKEZO KWA WAFANYA BIASHARA AU WAZAZI TU
Hapana, na wewe pia ukitii na kuamini Malaki 3:10-12 itakuwa dhahiri kwenye maisha yako
BOFYA HAPA KUSOMA SHUHUDA ZA FUNGU LA KUMI
Je maelekezo yote ya kimaandiko yanamnufaisha Mungu?
jibu kwenye comment
0 Comments