1 Yohana 3:22-2422 nasi tunapokea kutoka kwake lo lote tuombalo kwa kuwa tunatii amri zake na kufanya yampendezayo. 23 Na amri yake ndio hii: tuliamini jina la Mwanae Yesu Kristo na kupendana, kama alivyotu agiza.
Bila upendo ya faa nini? Huwezi kusamehe pasipo upendo. Hata amani ya kweli hutoka kwenye shina la upendo
Ukiwa na upendo utaomba kwa usahihi...
NdioMiaka kadhaa iliyopita niligombana na rafiki yangu, niliumia na nikatamka maneno mabaya juu yake...
Swali ni kwamba yale maneno ya laana niliotamka yangetokea kwenye maisha yake , Si ningekuwa wakala wa kupitisha mpango wa shetani wa kuiba,kuua na kuharibu
Yesu alikuja kwa ajili ya wenye zambi Mimi na wewe Tunapaswa tujifunze upendo.Barikiwa.
1 Yohana 3:22-24
22 nasi tunapokea kutoka kwake lo lote tuombalo kwa kuwa tunatii amri zake na kufanya yampendezayo. 23 Na amri yake ndio hii: tuliamini jina la Mwanae Yesu Kristo na kupendana, kama alivyotu agiza.
Bila upendo ya faa nini?
Huwezi kusamehe pasipo upendo. Hata amani ya kweli hutoka kwenye shina la upendo
Ukiwa na upendo utaomba kwa usahihi...
Ndio
Miaka kadhaa iliyopita niligombana na rafiki yangu, niliumia na nikatamka maneno mabaya juu yake...
Swali ni kwamba yale maneno ya laana niliotamka yangetokea kwenye maisha yake , Si ningekuwa wakala wa kupitisha mpango wa shetani wa kuiba,kuua na kuharibu
Yesu alikuja kwa ajili ya wenye zambi Mimi na wewe Tunapaswa tujifunze upendo.
Barikiwa.
0 Comments